SERENA NA FEDERER WAKO JUU

Thursday, December 24, 2009
SERENA WILLIAMS
ROGER FEDERER


Shirikisho la kimataifa la Tenisi Duniani (ITF) limewatangaza Roger Federer na Serena Williams kuwa wana michezo Bora wa mwaka 2009 baada ya kufanya vizuri katika michuano mbali mbali mwaka huu ambapo Federer mchezaji Bora wa kiume alishanyakuwa mataji 15 na Serena mchezaji Bora wa wanawake ikiwa naye ameshatwaa mataji 11




0 comments: