MAN UTD KILELENI MWA LIGI KUU

Sunday, January 24, 2010

Mchezaji Wayne Rooney alifaniwa kuifungia timu yake
Manchester United magoli yote 4 dhidi ya Hull City na
kuiweka Man Utd kileleni pia Rooney anaongoza katika
ligi Kuu akiwa na magoli 19 akifatiwa na Drogba 15


0 comments: