YANGA YAIKANDAMIZA AFRICAN LYON 2 - 0

Sunday, January 17, 2010
Yanga jana ilifanikiwa kuifunga timu ya African Lyon ya Jiji la Dar es Salaam 2 - 0 katika Uwanja wa Uhuru katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara Voda Com Premier Legue goli la kwanza lilifungwa Jerryson Tegete la pili Mrisho Ngasa


0 comments: